Unampa ngapi mwanamitindo huyu?

Iwapo angetumia mabaki ya mbogamboga ingekuwa vema lakini anapotumia mbogamboga ambazo wengine wanazitafuta kama mlo na hawazipati hawezi kueleweka vema.
 
Naona Karoti imepambwa na Nyanya.......
 
Reactions: ydn
Kwa mila,desturi na utamaduni wa kiafrika haikubaliki kuchezea chakula hadharani namna hiyo.
 
Hugo dada inaonyesha mboga yake nzuri sana.
 
Kabla ya kula mboga kwanza unacheki chumvi pale uvinza,kisha unakula mboga yako taratibu..
 
Ngoja apite karibu ya mbuzi ndo ataelewa kwa nin mtu ukizingua unaitwa mbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…