financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,139
- 43,362
It's abit complicated story mkuu! Ila ndiyo hivo kuna mtu nilikua nampenda mno mno ila sasa yeye nadhani hakuwahi kunipenda nahisi hadi akiona sms zangu ama calls anahisi namsumbua hivi😒 na mimi hivo hivo unaona huyu mtu kama anakuelewa hivi ila hata ukijilazimisha kumpenda pia moyo unakataa kabisa! Basi tu ila maisha yanendelea.Natamani sana kuiskia story yako about love mchumba.
Alaf huwa tunang'ang'ania sana sehemu tusizopendwa
Nikirudi nimelewa pombe zangu akija ghetto ananiambia sogea hapa ananinusa mdomoni anaanza kulia aise kuna matukio nikikumbuka najua tu yule ndio alikuwa mke wangu sema nilizingua .
Narudi nimelewa mwanamke analia ananiambia kwanini unakuywa pombe nimekukataza sana husikii nk , akishamaliza hapo ety ananikagua kama nime kwich kwich kwanzia chupi mzee inakaguliwa kama daktari , akimaliza napewa mpka basi mpaka nasema ntakufa Mama .
Huyo narudi zake kwao akishajua nimechoka mpaka nataka kufa ndio ananiacha aise huyu mwanamke acheni tu .
Nilikuwa nakula bata mzee, mtoto anakuja ananipikia chakula ananisimamia nakula mpaka nashiba yeye ndio anakula , tena ana amani zote . Masela wakimtokea naletewa kesi jamaa wakiomba namba za simu wakisumbua sana nawapa zanguNilikuwa na mmoja wa hivi.... nikilewa analia...naswaliwa niache pombe. She’s such a woman and a half
Kitendo cha moyo na ubongo kukataa kuoneshana ushirikiano, hasa katika mahusiano ndio kinatugharimuIt's abit complicated story mkuu! Ila ndiyo hivo kuna mtu nilikua nampenda mno mno ila sasa yeye nadhani hakuwahi kunipenda nahisi hadi akiona sms zangu ama calls anahisi namsumbua hivina mimi hivo hivo unaona huyu mtu kama anakuelewa hivi ila hata ukijilazimisha kumpenda pia moyo unakataa kabisa! Basi tu ila maisha yanendelea.
Aise kuna wanawake Mungu anakupa kama bure hivi sema ujinga wetu wanaume tunaharibu wenyewe, Happy wangu alinifanya nikaona mapenzi ni matamu yani nipo mimi tu katika hii dunia . Aise sijui kama ntapata mwanamke kama Happy . Happy whatever your nakupenda sana Mungu akubariki kwa uliyonitendea ila mimi ndio niliharibu mwenyewe .
Nikirudi nimelewa pombe zangu akija ghetto ananiambia sogea hapa ananinusa mdomoni anaanza kulia aise kuna matukio nikikumbuka najua tu yule ndio alikuwa mke wangu sema nilizingua .
Narudi nimelewa mwanamke analia ananiambia kwanini unakuywa pombe nimekukataza sana husikii nk , akishamaliza hapo ety ananikagua kama nime kwich kwich kwanzia chupi mzee inakaguliwa kama daktari , akimaliza napewa mpka basi mpaka nasema ntakufa Mama .
Huyo narudi zake kwao akishajua nimechoka mpaka nataka kufa ndio ananiacha aise huyu mwanamke acheni tu .
Ndio maana wazungu husema "" what goes around comes around"" nilikuja kumpata mtoto mzuri tulidumu nae mwaka mmoja tu, akaja kunipiga tukio la kufa mtu niliumia sana ila nikakumbuka namimi nilishamliza mtoto wa mtu.
Kuna Ex wengine wachawi tu mkiachana anakupiga ndumba ili uwe unajiliza liza kwake baharia uonekane mpumbavu
Unaweza kuta mlishaachana, ila sababu ya kuachana ndio kichekesho
Tatizo lako ndio ilo kiherehere, alitakiwa kujionea mwenyewe unafikiri mademu wa Bob wote walipenda avute weed? Common sense brother.Nikadhan nmemzoea baada ya miaka MI 3 kwenye mahusiano, one day tume chill vimbwetani nkamwambia you know babe I usually smoke weed sometimes and it's not a big deal.
Akalia machoziii mengiiiii Sana.. Ohh I can't believe it, I used to think your so smart in class, una akili Sana hata GPA zako n nzuri but siwez kudate na wavuta ndum. Am sorry Stiffler, alafu akaniacha diplomatically from that day , popote ulipo R nakukumbukaga Sana. Naonaga ulipanic tu icho kipengele
Nlifikiri tumezoeana Sana mzee.. Sema manz alikua na tendency na attitudes za kilokole af mlume nmesoma na kukulia uboizini.Tatizo lako ndio ilo kiherehere, alitakiwa kujionea mwenyewe unafikiri mademu wa Bob wote walipenda avute weed? Common sense brother.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Kuna Ex wengine wachawi tu mkiachana anakupiga ndumba ili uwe unajiliza liza kwake baharia uonekane mpumbavu