Chairman Lee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,363
- 1,503
Nikaanza kugonganisha magari sasa hapo ndipo tulipo zinguana tuliachana kwa nguvu kubwa , japo tumepotezana lakini najua tunapendana badoNikirudi nimelewa pombe zangu akija ghetto ananiambia sogea hapa ananinusa mdomoni anaanza kulia aise kuna matukio nikikumbuka najua tu yule ndio alikuwa mke wangu sema nilizingua .
Narudi nimelewa mwanamke analia ananiambia kwanini unakuywa pombe nimekukataza sana husikii nk , akishamaliza hapo ety ananikagua kama nime kwich kwich kwanzia chupi mzee inakaguliwa kama daktari , akimaliza napewa mpka basi mpaka nasema ntakufa Mama .
Huyo narudi zake kwao akishajua nimechoka mpaka nataka kufa ndio ananiacha aise huyu mwanamke acheni tu .
Pamoja na yote aliyojitahidi, still hukuona umuhimu wake by then.Nikirudi nimelewa pombe zangu akija ghetto ananiambia sogea hapa ananinusa mdomoni anaanza kulia aise kuna matukio nikikumbuka najua tu yule ndio alikuwa mke wangu sema nilizingua .
Narudi nimelewa mwanamke analia ananiambia kwanini unakuywa pombe nimekukataza sana husikii nk , akishamaliza hapo ety ananikagua kama nime kwich kwich kwanzia chupi mzee inakaguliwa kama daktari , akimaliza napewa mpka basi mpaka nasema ntakufa Mama .
Huyo narudi zake kwao akishajua nimechoka mpaka nataka kufa ndio ananiacha aise huyu mwanamke acheni tu .
Aise wacha kabisa kuna time unajikuta mwamba katika mapenzi kumbe unapotea njia bila kujua mpaka leo namkumbuka huyuPamoja na yote aliyojitahidi, still hukuona umuhimu wake by then.
Ndio maana wazungu husema "" what goes around comes around"" nilikuja kumpata mtoto mzuri tulidumu nae mwaka mmoja tu, akaja kunipiga tukio la kufa mtu niliumia sana ila nikakumbuka namimi nilishamliza mtoto wa mtu.Ndivyo inavyokuwaga. Ila no way, ndio maisha haya.
[emoji3][emoji3][emoji3]Kuna Ex wengine wachawi tu mkiachana anakupiga ndumba ili uwe unajiliza liza kwake baharia uonekane mpumbavu
Ni noma sana mkuu.Ndio maana wazungu husema "" what goes around comes around"" nilikuja kumpata mtoto mzuri tulidumu nae mwaka mmoja tu, akaja kunipiga tukio la kufa mtu niliumia sana ila nikakumbuka namimi nilishamliza mtoto wa mtu.
Poleee chief ulipoteza zaidi ya mke, uyo alikuwa zaidi ya mpenzi kwakoNikirudi nimelewa pombe zangu akija ghetto ananiambia sogea hapa ananinusa mdomoni anaanza kulia aise kuna matukio nikikumbuka najua tu yule ndio alikuwa mke wangu sema nilizingua .
Narudi nimelewa mwanamke analia ananiambia kwanini unakuywa pombe nimekukataza sana husikii nk , akishamaliza hapo ety ananikagua kama nime kwich kwich kwanzia chupi mzee inakaguliwa kama daktari , akimaliza napewa mpka basi mpaka nasema ntakufa Mama .
Huyo narudi zake kwao akishajua nimechoka mpaka nataka kufa ndio ananiacha aise huyu mwanamke acheni tu .
Kabisa manPoleee chief ulipoteza zaidi ya mke, uyo alikuwa zaidi ya mpenzi kwako
Mwisho wa siku tunaishia kupata mangumbaru, tunaanza kujuta.Ila cha ajabu, kipindi kile jamaa alikuwa haoni ilo. Kuna muda wanaume tunateleza sana.
Namkumbuka sanaa aisee nilimkataa bila sababu yaan nilijikuta tuu nimemchokaMahusiano yakifa, kila mmoja huwa anaelezea habari mbaya za aliyekuwa mpenzi wake, yale mazuri yote yalifutika mapenzi yalipoisha.
Jamaa analalamika jinsi gani ameweza kumpangishia nyumba mpenzi wake, alaf mpenzi wake nae ameleta mpenzi wake wanaishi kwa kodi ya jamaa.
Kuna dada analalamika kuhusu yule boyfriend wake ambae walikuwa washatambulishana hadi kwa wazazi, ila ghafla jamaa amebadili mawazo na kuwa kivuruge.
Kwa ufupi kila mtu anajaribu kuelezea jinsi mapenzi yalivyomtenda. Ila ngoja nikuulize swali mkuu:
UNAMKUMBUKA YULE EX WAKO?
Yule ambae pamoja na upendo wote aliokuwa nao kwako, ila ulimuona hafai ukampiga chini bila sababu ya msingi? Namaanisha yule ambae ni muda mrefu sasa tokea muachane nae, ila mpaka leo akiulizwa kwanini mliachana wala hajui sababu, maana hukumpa sababu ya kueleweka? Yeah huyo ndio nakuuliza, UNAMKUMBUKA?
Sasa basi, jinsi ambavyo unasota katika mahusiano ya sasa, au jinsi ambavyo unaumia kwa uliyopitia hivi karibuni, basi kipindi kile pengine aliumia zaidi ya hivi.
Mkuu nakuuliza tena, Unamkumbuka yule ex wako? Yeah yule ambae alijituma kama mke kwako japo hakujulikana kwenu wala kwao hawakukujua. Eti dada angu, hivi bado unamkumbuka yule aliyekuwa anasimamia shoo za mahitaji yako as if ni mzazi wako ila ghafla ukaamua kutemana nae. Analyse nimemkumbuka leo ndio maana nimeonelea nikuulize na wewe:
Unamkumbuka yule ex wako?
Quick reminder wakuu ni kwamba : "We are all bad in someone's story" so punguza kulalamika yakikukuta, hata wewe ulishawahi kumliza mtu.
Stop live in time, live in moments. Ukiumia lia, ila ikija happy moment basi fatana nayo furahia to the max. Ila ukijifanya unazikwepa good moments eti kwavile upo kwenye bad time, YOU WONT BE HAPPY FOREVER
Hakuna anayefanya ubaya akiwa anaamisha kufanya hivyo, watu wanakuwa wanajaribu kutafuta furaha.
Analyse
#Baharia_wa_nchi_kavu
Ni Msimu wa Vumbi na Mafua makali.Mahusiano yakifa, kila mmoja huwa anaelezea habari mbaya za aliyekuwa mpenzi wake, yale mazuri yote yalifutika mapenzi yalipoisha.