Govinda movie yake bora kabisa ilikuwa Hatya, enzi hizo tulikuwa tunaiita Govinda yaya maana aliigiza na kitoto bubu sasa kikawa kinamuita govinda yayaa
Habari za jioni wana jamvi....leo katika pekuapekua yangu ya filamu za kihindi za wakati huo nimekutana na filamu inaitwa ROHA...Nikaona sio mbaya tukikumbushana mtu mmoja anaekwenda kwa jina la AMRISH PURI...je una hisi katika kizazi hiki cha filamu za kihindi anaweza akatokea mtu kama AMRISH PURI tena?.... View attachment 450244
Huku arusha walikuwa wakimwita dingi la nyambisi nimeangalia sana movie zake ninayo ikumbuka ni ile aliyo cheza na ajay davgan mzee anaogea maziwa alafu wananchi wanakinga wanakunywa baadaye ana mchora dadake ajay tattoo za matusi mwili mzima... Nyingine ni ile ya Mr india