Habari wana-JF
Namtafuta Mzee Yusuf Idowa (babangu wa kambo, enzi hizo), MKULIMA wa mpunga Ifakara enzi za ujana wake, kwa kabila ni mrangi, mzaliwa wa wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma! Huyu Mzee pamoja na Ndugu yake ambae simkumbuki jina la kwanza (na yeye anatumia jina la pili IDOWA) alikuwa Mwalimu wa shule ya msingi Ifakara, alikuwa akiishi Ifakara mpaka mwishoni mwa miaka ya 90 nilipopoteza link na yeye, baada ya mimi kuhamia Morogoro Mjini kutokea Ifakara! Kama kuna anaewafahamu watu hawa ama vizalia vya watu hawa, naomba anisaidie kwa kuni-pm! Natanguliza shukrani!