Unamjua huyu?

ana akili zake ila anapenda thana kucheza michezo hiyo
 
jamani mnajua wale watoto wa geti kali hawachezi michezo kama hiyo
 
inaonyesha enz zake alikua anapenda sana kuendesha magar ya miti
 
Kuna kiongozi mmoja niliwahi kumuona anamsaidia mtoto kuendesha kagari kama hako,sijui ndio yeye huyu lol!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…