Unamjua Huyu?

Tangu lini ukawa mtani wangu? Isitoshe nimetukana wapi? Unajua maana ya matusi au unataka uyajue? Kwanini umekuwa mgumu kunielewa? Uligemea nini uliposema I am father of none wakati ni father of all? Kosa ni kukukana baada ya kunikana? Ulitaka nikwambie nini?
Mmh, kwenye utani usilete matusi, ndugu. Nimekuwekea icon ili uelewe namaanisha nini.
 
Dah! wakuu The Pen & sun wu huyu Jamaa mmenikumbusha mbali enzi za ujana (wakati ndo naanza kusoma soma Novo) ... nilisoma Novo zake more than 55


Kuna watu walipewa jina la huyu jamaa kutokana na kusoma novels zake nyingi, tena novel moja kwa saa chache tu. Si ajabu nawe walikuita Chase. :smile:

Wkt huo hakukuwa na TV stations na video tapes zilikuwa km anasa, basi novels hizi zilikuwa burudani.
 

The Pen ... Unachosema ni kweli ... kwa sababu mimi nilikuwa kila nikimaliza kusoma Novo 1 watu wanajikusanya wanataka niwahadisie stori ... basi naanza kuanzia mwanzo hadi mwisho - Charactes / story/ plot ... sasa watu wengi wakawa wanajua stori behind almost kila kitabu.

Wengine walikuwa wakienda makwao wakivikuta wananiletea mimi nasoma then nawahadisia story. Na nilijitahidi sana sikuwaangusha! ... mpaka wakawa wananishauri na mimi nitunge vitabu as tayari najua stori nyingi / plots.

Nilifika wakati Novo moja ya Chase nzima nasoma only 5 - 6 hours!. Baadae nikaona Chase hazifai tena as kitabu unamaliza ndani ya saa 5 tu ... vile vya Page 300. Nikaanza kusoma Novo zenye Page nyingi - kuanzia 700 mpaka 1400 Pages. Nakumbuka Novo kubwa ya kwanza kusoma ilikuwa ya Irving Wallace's novel The Man .. ilikuwa na page kama 1400 hivi na maandishi madogo - nilivutiwa nayo sana na kuanzia hapo sikuendelea tena kusoma Chase as niliziona zipo shallow sana katika story line! so mpaka naacha kusoma Chase nilikuwa nimesoma more than 55 as nilikuwa na Library yangu home ya Chase (wakati ule) zilifika 48 na watu walikuwa wanakuja nawaazimisha!

One of my favorite Novo iliyonifanya niache kusoma Chase ... ina pages more than 1,400 (maandishi madogo) - novel The Man , which imagines an America led by a black president - Alitunga stori juu ya Marekani kuongozwa na Rais mtu mweusi (imetokea kwa Obama)​

Ni kweli walinipa jina kutokana na vitabu vya Chesi - ila jina hilo siyo Chase ila ni Mmoja wa Characters katika vitabu vyake - as watu walitokea kumpenda huyo Character mpaka kila nikikutana nao wananitania niwape story ya huyo character - sasa ikafikia wakati wakaanza kuniita kwa jina la character huyo na watu wamekuwa wananiita jina hilo mpaka leo to the extent hata nyumbani na wao huniita jina hilo bila ya kujua origin yake! ... kweli umenikumbusha mbali sana!
 
Mkuu the Pen uko juu!
saafi sana, hiyo ndo maana ya kuwa great thinker..
Ufafanuzi wako umeonyesha uwezo wako wa kufikiri..saafi sana.

"Victory is won not in miles but in inches. Win alittle now, hold your ground, and later, win a little more"
 
Tumeshindwa! sema tukupe mji? nenda Mtwara.
 

Alikuwa mtu mashuhuri sana, hasa ktk miaka ile ya 80
.

Most likely Rhodesia's (Zimbabwe) IAN SMITH!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu the Pen uko juu!
saafi sana, hiyo ndo maana ya kuwa great thinker..
Ufafanuzi wako umeonyesha uwezo wako wa kufikiri..saafi sana.

"Victory is won not in miles but in inches. Win alittle now, hold your ground, and later, win a little more"
agosti 8


"Once you hear the details of victory, it is hard to distinguish it from a defeat." ― Jean-Paul Sartre
.
 

Alikuwa mtu mashuhuri sana, hasa ktk miaka ile ya 80
.


Asante sn Mkuu kwa hii picha..sasa naomba unishauri..napenda sn kujifunza kingereza lakini sijui ntaanzia wapi ila kuna mtu alinishauri kuwa niwe nasoma novel sn ntaweza kuimprove..je unakubali hilo?
Pili, sasa ni novel zipi ambazo nikizisoma zinaweza kunisaidia kuimprove my language skills..
And also if it is possible you can mention even the book store where i can find these novels..
Thanks in advance and hope to hear fromyou soon..
 
Dotworld, nami umenikumbusha mbaali! Kulikuwa na jamaa mtaani kwetu alikuwa km unavyoelezea. Yaani, akikuhadithia story za novo ni km unaona movie!

Wengine walikuwa wakienda makwao wakivikuta wananiletea mimi nasoma then nawahadisia story. Na nilijitahidi sana sikuwaangusha! ... mpaka wakawa wananishauri na mimi nitunge vitabu as tayari najua stori nyingi / plots.

Ninawajua watu km wawili hivi ambao walikuwa wamesoma novo nyingi na hivyo kuvutika kutunga za kwao wenyewe. Lkn sidhani km walizikamilisha. Vipi, ulishawahi kujaribu kutunga? Naamini unaweza ukawa na plots nzuri za stori kuweza kuandika scripts kwa ajili ya movies. Think of it!


Hapa umenikumbusha watu wawili, male and female, Kwa mahali tofauti. Hawa walikuwa wakiingia ndani kusoma novo, unaweza ukasahau km wapo nyumbani. Mara ya mwisho nilimuona huyu wa kiume na novel ya Robert Loodlum: BORN IDENTITY. Hivi sasa ni marehemu. Nahisi huyu wa kike ni member wa JF.


One of my favorite Novo iliyonifanya niache kusoma Chase ... ina pages more than 1,400 (maandishi madogo) - novel The Man , which imagines an America led by a black president - Alitunga stori juu ya Marekani kuongozwa na Rais mtu mweusi (imetokea kwa Obama)​


Nahisi ni Al Barney. :smiling:
 
Last edited by a moderator:
Asante mkuu Dotworld

"It is a sign of strength, not of weakness, to admitthat you don't know all the answers"
 
Gogo la choo, inategemea na level yako ya hii lugha. Ni kweli, novels zinaweza kukusaidia ku-improve your English. Lkn naona km tatizo kubwa, na la watu wengi, ni language usage. K/hiyo, nakushauri kuanza na hadithi fupi fupi kabla ya kuanza kusoma novels. Km una access ya Internet mara kwa mara, hutakuwa na haja sana ya kutafuta hard-copy books, ingawa navyo vina advantages zake. Jaribu kupitia hapa: English as 2nd Language - Learn English Vilevile, google hii: language usage au english usage, na kisha fuata displayed links.
 
Last edited by a moderator:

Alikuwa mtu mashuhuri sana, hasa ktk miaka ile ya 80
.

Most likely Rhodesia's (Zimbabwe) IAN SMITH!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Jibu lilishatolewa, mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…