Una mchumba ametoboa skio lote..ametoboa pua..ametoboa ulimi..hadi kitovu ametoboa..anabandika kucha na kope pia na bdo anajichubua halfu unakaa mbele za wa2 unasema hujawah kumuona SHETANI .... Ndugu yangu hv unatk kumuona shetan wa aina gn[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]?????