Icon Special
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 257
- 230
- Thread starter
-
- #21
Much love to yah, Kama hujapata wa kukupendraaa na kukupetipeti we Ni Pm nikufuate ulipo aiseee, simple like that....... Kwa rangi na heina hata mm ntajitahidi nikuletee hizo make up za kucha, napenda wanaojielewa km wewI like being simple [emoji126]
Natural beauty[emoji9] ila kwenye kucha niache kidogo[emoji23] nazipenda mnoo zangu,kuziacha bila rangi au henna ni kitu ambacho ziwezi( Og nails)
ShukraniiiiiMuch love to yah, Kama hujapata wa kukupendraaa na kukupetipeti we Ni Pm nikufuate ulipo aiseee, simple like that....... Kwa rangi na heina hata mm ntajitahidi nikuletee hizo make up za kucha, napenda wanaojielewa km wew
Mkuu kama utashindwana nae huko pm naomba nijulishe plsMuch love to yah, Kama hujapata wa kukupendraaa na kukupetipeti we Ni Pm nikufuate ulipo aiseee, simple like that....... Kwa rangi na heina hata mm ntajitahidi nikuletee hizo make up za kucha, napenda wanaojielewa km wew
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu kama utashindwana nae huko pm naomba nijulishe pls
Haupishani na mm mkuu, wananiudhigi basi to sa mwaume mm nafanyaje, wao wanatamba na smartphone zao tena+hawa wanaopiga picha, wamebinjua vimatako vyao nakuvipost..
Huwa nachefukwa sana.
Mkuu mkuu, msinisahau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usijali mkuu, ntakupigia Pasi
Hujasahau to mkuu,Mkuu mkuu, msinisahau[emoji23]
Sio mm to, hata Muumba wako hapendi type hio ya life style, no Kwamba anachukia vp mm nisichukie madame!!??? [emoji23][emoji23][emoji23]
Haupishani na mm mkuu, wananiudhigi basi to sa mwaume mm nafanyaje, wao wanatamba na smartphone zao tena
Nimejikuta nacheka asubuhi asubuhi haki vileeeeeUna mchumba ametoboa skio lote..ametoboa pua..ametoboa ulimi..hadi kitovu ametoboa..anabandika kucha na kope pia na bdo anajichubua halfu unakaa mbele za wa2 unasema hujawah kumuona SHETANI .... Ndugu yangu hv unatk kumuona shetan wa aina gn[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]?????
ku creem ndio nini?Mkuu naona utakuwa umecreem, coz Kuna mashetani wa Aina nyingi anaweza kuwa, jini Binaadam, mdudu au hata mnyama VP asiwe huyo niliyemdefine hapo kwenye uzi huu
Think twice au kasome vzur Quran /Bible utaelewa vzur
Chid benzi na demu wake wote wametoboa puaUna mchumba ametoboa skio lote..ametoboa pua..ametoboa ulimi..hadi kitovu ametoboa..anabandika kucha na kope pia na bdo anajichubua halfu unakaa mbele za wa2 unasema hujawah kumuona SHETANI .... Ndugu yangu hv unatk kumuona shetan wa aina gn[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]?????
Si ametajwa hapo juuShetani unamjua
Ameshavunja huyo ndomana kaitwa shetan..hahahahaKila mtu ana uhuru wa kuishi apendavyo mradi tu asivunje sheria.
Ni sawa kwani tatizo liko wapi? kila mtu ana uhuru na mwili wake ww kama humuwez yupo anaemuweza na anampenda..mimi nimetoboa masikio matundu ma3 ingawa niliachaga kuvaa hereni tatu kuna jamaa alinielewaga kipindi flan akanipiga marufuku sasa tulipoachana nkawa siwez tena kuvaa vile kila mwanaume nkawa nahisi hapendi kumbe sivyo..Wanatoga mpaka papuchi