Unamaitaji ya applications ndogo ndogo za windows....?

Unamaitaji ya applications ndogo ndogo za windows....?

felijose

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
201
Reaction score
59
Kama unamaitaji ya applications ndogo ndogo za kampuni au.biashara... Nitakutengenezea kwa bei.nafuu...
Example
Database applications
 
ungeonesha sample ili watu wapime ujuzi wako!
 
Last edited by a moderator:
Kwenye IT hakuna cha sample... Cha muhimu ni kunipa kazi nikakutengenezea na ukaridhika nayo... Cha muhimu ni user requirement tu.....
 
Kwenye IT hakuna cha sample... Cha muhimu ni kunipa kazi nikakutengenezea na ukaridhika nayo... Cha muhimu ni user requirement tu.....
kumbe hizi demo uwa ni za nini mkuu? unanifanya nikushuku uwezo wako wa ufanyaji wa kazi. Mkuu Stefano Mtangoo anataka kuona japo hata kazi yako moja ili tujiridhishe uwezo wako, sio lazima tusiwe sisi ila tukikukubali tunaweza kukurecommend kwa watu wengine, we wawapi wewe?
 
Last edited by a moderator:
Yah... Nakubali huwa kuna demo... Ila ukija kibiashara nitakuonyesha.... Coz kuna hata organisations kubwa nimezitengenezea hizo applications......
 
Hizo application natengenezea java language....... Demo nitaweka ....
 
Hizo application natengenezea java language....... Demo nitaweka ....


Good move mdau.

Mimi pia natengeneza windows application kwa matumizi ya maofisini na biashara mbalimbali.

Tunawezaungana tukafanya hizi kazi pamoja.

Technologies nazo tumia:
Microsoft: wpf, mvvm, prism, c#, Entity Framework, .NET, SqlServer n.k
Java/Sun: Java, JSP , Servlets, J2EE, Messaging Services, Spring, Hibernate
Mix: Html, XML, n.k


Pamoja
 
Yah... Mr hapo ndo umekuja na jambo zuri.... Tukiunganisha nguvu itapendeza.......
 
Back
Top Bottom