Unalitambuaje godoro feki?

Zingatia label, mara nyingi huwa imebandikwa vibaya, inakuwa haifananii na ya kampuni husika, bei pia ni kitu cha kuzingatia ikiwa cheap sana kuna uwezekano ukaondoka na mzigo fake.
 
Hapo kwenye kubonyea unalikuta godoro la kuitwa panafoam haya magodoro miyayusho sana....ukiamika kama umetoka jehanamu.
Hahahaha ni changamoto kwakweli, ndo maana kuna muda unashauriwa ulale chini kwenye floor ili unyooke sababu magodoro mengi yana changamoto ya kubonyea kati
 
Density ni Tungamo, Sayansi darasa la 6 miaka ile.
Haya tungamo ni nini😁
 
acha tu mkuu, omba usikutane nayo hela yako mwenyewe inakutesa. halafu kuna watu humu jukwaani wanasema hayo ndo mazuri dah kweli tunatofautiana
Maana yake unalala halafu unamka unapumzika,kuna ugumu na ugumu,ila ugumu huo hapana,maana yake utafikiri kumejazwa mchanga ndani kama punch bag
 

Hilo godoro Halifai kabsa labda kama wanayo mengine mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…