Unalipwa kadri ya matendo yako duniani

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,222
Reaction score
102,336
Hakuna cha kuombeana hapa. Unalipwa kadri ya matendo yako duniani.

Acha kupoteza muda, fukia maisha yaendelee.

Yatengeneze maisha yako ya baadaye ukiwa hai.

Hakuna cha kuomba.

Nyie wanasiasa mashetani kwenda Kwa shetani mkifa
 
mkali kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…