Unalikumbuka hili Game?

Hii game ilikuwa imewekwa kwenye computer, kama computer game ambapo mcheza draft upande moja anachezqa na computer upande wa pili , ukisogeza kete tu na computer inasogeza kete sasa kila ukifunga huyo dada wa pemebeni anafunua nguo kiasi fulani , ukiendelea kuishinda computer basi huyo dada anasaula ngua zote anabaki kama alivyozaliwa.
 
Wew ushafikia hadi hatua ya mwisho
 
Noma sana! Ili nakumbuka nililipakua waptrick na nokia flani hivi kitambo sana...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…