meeku
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 569
- 108
Kmethali haka ni katamu sana.
najiuliza Komba na mitumbotumbo yake anasema wapinzania wakapimwe akili, nae mwenzake akauliza juzijuzi kulikuwa na skendo ya kuwa Komba amemnunulia Lulu (Kale kabinti ka kanumba) gari. maana yake anachakachua. Sasa hapa kichaa ni yupi? Mitumbotumbo yote kama Mimba ya kiti moto halafu ukalalie kale katoto ka miaka 17. kwanza huyu jamaa anapaswa akamatwe kwa kunajisi. halafu anatunga sheria pale mjengoni ya kukataza kunajisi. Aibu sana. hawa jamaa wanatoa matusi huku wao wako uchi. Noma sana.
lakini kuana hili la JK kuwa dhaifu. Watanzania wanahitaji darubini kulijua hilo? kama waziri wake anashindwa kubuni vyanzo vya fedha na kukimbilia Pombe na sigara, hapa dhaifu hi waziri au aliyeteua kitu dhaifu. ( Principal ya computer= gabbage in =====gabbage out).
hapo mwanangu Mnyika nimekupenda. bravo. WAAMBIE WANANCHI WA UBUNGO TULIOKUTUMA NASI TUNAONA KWELI KUWA ****** NI DHAIFU.