Unaleta fujo huku unaishi kwenye nyumba ya nyasi?

meeku

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
570
108
Kmethali haka ni katamu sana.

najiuliza Komba na mitumbotumbo yake anasema wapinzania wakapimwe akili, nae mwenzake akauliza juzijuzi kulikuwa na skendo ya kuwa Komba amemnunulia Lulu (Kale kabinti ka kanumba) gari. maana yake anachakachua. Sasa hapa kichaa ni yupi? Mitumbotumbo yote kama Mimba ya kiti moto halafu ukalalie kale katoto ka miaka 17. kwanza huyu jamaa anapaswa akamatwe kwa kunajisi. halafu anatunga sheria pale mjengoni ya kukataza kunajisi. Aibu sana. hawa jamaa wanatoa matusi huku wao wako uchi. Noma sana.

lakini kuana hili la JK kuwa dhaifu. Watanzania wanahitaji darubini kulijua hilo? kama waziri wake anashindwa kubuni vyanzo vya fedha na kukimbilia Pombe na sigara, hapa dhaifu hi waziri au aliyeteua kitu dhaifu. ( Principal ya computer= gabbage in =====gabbage out).

hapo mwanangu Mnyika nimekupenda. bravo. WAAMBIE WANANCHI WA UBUNGO TULIOKUTUMA NASI TUNAONA KWELI KUWA ****** NI DHAIFU.
 
Hivi hii ni hoja ya mtu aliyeliona darasa au mazungumzo kwenye vilabu vya kangara!
Hata point ya mleta mada hii haionekani.
 
TUNAKUJUA WEWE NI GAMBA. SASA NA WEWE SI NI SAWA TU NA kOMBA? kIBINTI CHAKO NACHO UNACHONAJISI KINA MIAKA MINGAPI?
 
CHADEMA imewapeleka chuo cha matusi Kiborloni au vipi?
Hongera CHADEMA kwa kuwa na wafuasi-matusi kama hawa.
 
Yes!!!!!!!!! mesege sent. Yaonekana wewe umelala tena usingizi wa pono. Wewe tusi liko wapi? hata wewe unaonekana ni dhaifu. Waasisi wa matusi si wako ndani ya magamba bwana. Midomo inawanuka mtadhani choo cha stendi. Ukweli unawauma kuambiwa kuwa magamba ni dhaifu na vichaa kama komba anayenajisi vitoto.
 
Lulua angekua binti yangu huyu mzee ningejichukulia sheria mkononi anakera sana mbakaji mkubwa.!
 
Hebu fikiria huu mtumbotumbo utakaa wapi kwa kitoto cha miaka 17. Kwanza hesabu idadi ya viti anavyokalia halafu uniambie hili jamaa lina tani ngapi. Wazazi tuwe makini kuozesha binti zetu masemi trela kama haya.View attachment 56857
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom