Unalalaje mtu wangu?

Namba 3 ila bila top. Sumtimes 4 kabisa( Suti ya kuzaliwa)
 
namba 4 ndio mpango mzima na hili joto la Dar!!!
 
Mimi kwa kweli no 4, lakini nikivaa number 1, ni kosa la jinai kama una Ndoa.
 
No. 1 mara nne kwa juma, na .........



mara tatu kwa juma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…