Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,522
Hivi ushawahi kukutana na hii kitu ,
Mie ishanikuta kitambo hichooo,
Unajikuta umemzimia bint flani ila unakosa ujasiri wa kumtokea,
Na ukute hapo ww ni cocha mzuri wa kuwapika wenzako ila imefika kwako unajikuta umepalalize gafla ,
Washkaji kitaa wanakupa sapot na kukupa mikakati ya kumvaa huyu bint ,na hao ndio uliokuwa unawatrain ,ila ajabu leo kwako unashindwa kujilipuwa ,
Hapa ndo naamini kwenye mapenzi hakuna mjuzi mzee,
Baada ya kupewa mbinu za hapa na pale na kuongezewa Dripu ya ujasiri baada ya kujikuta umepungukiwa nayo mwilini,
Cha kuchekesha sasa
Inatokea siku gafla unakutana naye mlengwa katika pita pita zako mtaani,kumwona tu unajikuta unastuka gafla
Hujakaa vizuri kale kaugonjwa kautoto unahisi kama kanataka kurudia (Dege dege)ila unajikaza ,
Unakusanya nguvu ili umpe maneno hata mawili matatu unamsimamisha ana simama ,gafla unajikuta faili zote kichwani zimecorrupt ,hujui hata nini cha kumwambia unabaki kama mtu alokumbwa na ugonjwa wa kifafa
Bint ana amuwa kwenda zake maana huna cha kumwambia
kama na ww ishakukuta ebu tupe ushuhuda wako hapa ,
maana mie nimepata cha kuja wahadithia wajukuu zangu wakati nasubir ugali wa bure