Unakumbuka wapiii

Nakumbuka shule ya msingi Gofu juu miaka ya 1988
 
Hahahhaha Enzi hizo Primary school.
 
Nakumbuka shule ya msingi kiburang'oma hapo Lizaboni Songea
 
Kwanini siku hizi hakuna hii kitu kwenye shule zetu
 
Kwanini siku hizi hakuna hii kitu kwenye shule zetu
Kwa sababu tuliosoma zamani tulikuwa na akili sana pamoja na ubunifu,hawa wa sasa wanashindana na dada zao kukaa kwenye kioo
 
Miaka ya 1979 na 89, mitaa ya mutukula, kule katoma, hamugembe ,maruku , kanyangereko ,hapa Pasi ni ya mkaa na unaifuata Nyumba ya tano
 
leo ukiweka hivyo shirt,,shuleni ,,utaambiwa uje na mzazi wako,,,umeshakuwa muhuni,maana hata huyo mwalimu anayefundisha leo wengi wao hawakutumia,,na hawajuwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…