Unakumbuka wapi???

Samahani huu ugali au udongo?

Kweli walioita ugali ni nguna hawakukosea.
 
huko ndiko nilipo ona style hiyo ya mlo, parachichi, ugali na vichwa vya kuku
Sio huko tuu mkuu ulaji huo inategemea na mazoea ya mtu!!kwa mfano wapo wanaokula ugali kwa kurumangia na ndim au embe bichi!!na wapo wanaokunywa chai na ndizi mbivu!na vilevile wapo wanaokula ugali na parachichi tuu kama mimi[emoji3] [emoji3]
 
wapo wengine wanakula ugali na ndizi mbivu na chai ya rangi....😀
 
Kuna mdau alileta ishu ya constipation hapa mpaka akawa anamogoa kimba kwa mikono pole pole huku mkewe akimtia moyo. Angekuwa amekula huu ugali na constipation yake hiyo mpaka sasa angekuwa bado chooni akiwa anamogoa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahahhah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…