Unakumbuka wapi???

Mboga Saba Ndio Hivi?

Kumbe kuwa mboga saba ni simple sana!!

Huo ni Ugali wa Valentine Day, Kwetu kijijini Chato.
 
Kuna mdau alileta ishu ya constipation hapa mpaka akawa anamogoa kimba kwa mikono pole pole huku mkewe akimtia moyo. Angekuwa amekula huu ugali na constipation yake hiyo mpaka sasa angekuwa bado chooni akiwa anamogoa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
mkuu hiyo ngoma ukiipiga kavu kavu mila kuipunguza makali, itakua ni experience ambayo hutasahauu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…