Unakumbuka nini?

Page nzima imejaa matangazo ya Bendi tu bila shaka lilikua gazeti linalotoka ijumaa hili (Usichanganye na IJUMAA ya Shigongo)
 
watu mnajua kutunza, hii ilikuwa ni miaka ya neema kila idara. maisha yalikuwa mema kuliko. na kwenye burudani ndio usiseme maana dsm ilikuwa inawaka moto. kila BAND IKIJINASIBISHA KWA TONE YAKE , ukisikia ALA YAO TU UNAJUA KUWA HII NI BAND GANI..............!! wakati ni moshi ukitoka haurudi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…