Unakumbuka nini ukiona hii

BoManganese

JF-Expert Member
Jun 10, 2017
979
2,670
Kipindik hiko Scandinavia on fire
424147_3216022810864_254767804_n.jpeg
images.jpeg
581924328.jpeg
 
Mi nakumbuka nilivyokua naenda kuchukua bahasha ya buku kumi(bluu) toka kwa mshua wakati niko skuli kuliko kusubiria mesenja abandike majina ya TMO
 
Kipindi npo darasa la nne kila siku nilikua nakula bakora za ticha kisa kuchana karatasi za daftar lake ili kuchora tu hayo magari...

Yule ticha sijui alikua mchawi maana nlikua nachana zile page za katikati hata haionyeshi sasa ngoja aje aguse daftari ...
 
Back
Top Bottom