Unakumbuka nini kipindi ukiwa bachelor

Mimi nlikua mvivu balaa
1) mende akiingia ndani nlikua siangaiki nae namuacha ale jeuri yake..hamalizi siku mbili bila kumkuta kafa

2) sikuwai kupika wala kua na jiko

3)nikianua nguo nlikua nazitupa kwenye sofa nazivaa ad ziishe bila kukunja wala kupasi

4)nlikua na pasi lakini naweza kuiwasha mara2 kwa mwaka

5)suruali za kitambaa na mashart zilikua hazivaliwi labda kuwe na tukio maalumu

6)sikuwai kuogea maji ya moto iwe msimu Wa joto au baridi

7)kuna Mshkaji aliamia siku moja kafoce tupike mi nkapika mboga yeye kapika wali,wali ulikua na mawe balaa ukichota kijiko kimoja kina mawe yasiopungua kumi ikabi tumeze bila kutafuna

Kama na wewe unakituko cha kipindi ukiwa bachelor sio mbaya ukashare hapa.
 
Duuh! Narudi home sa 3 ivi usiku alafu nakoleza moto ili npike ..ile nasubiria moto ukolee naenda kujilaza ktandani, yaan mkojo ndo unakuja kunishtua mida ya sa 8 au 9 na nkija kuchek moto wangu nakuta ulishagaisha kitambo...basi nakojoa nakurud zangu kitandan
Hii tabia ilinitesa sana
 
Duuh! Narudi home sa 3 ivi usiku alafu nakoleza moto ili npike ..ile nasubiria moto ukolee naenda kujilaza ktandani, yaan mkojo ndo unakuja kunishtua mida ya sa 8 au 9 na nkija kuchek moto wangu nakuta ulishagaisha kitambo...basi nakojoa nakurud zangu kitandan
Siwezi kukuahidi bia mkuu.....
em jipigie makofi popote ulipo.

hahahahaaaaa
umenichekesha sana.
 
Nikiwa Bachela Nilimkumbuka mama yangu mzazi alikuwa anatufundisha kupika sisi wavulana tukawa tunajidai kupika awafundishe dada zetu..Nilipoanza maisha nilipata shida kupika matokeo nikawa na import wa kunipikia na kuosha vyombo.Nimekumbuka mbali sana.Mama yangu bado yupo ana +/-90 mama nakupenda sana be blessed. ...
 
Nlikuwa nafua shati kwenye kola ma kwapa.

Nlikuwa nakunywa soda na mkate asubuhi.

Nlikuwa nakaanga sukari ndo naofanya majani chai.

Nlikuwa sinyoi zile nywele nyingine.

Nlikuwa napiga swaki kwa sabuni
 
Back
Top Bottom