harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,918
Mimi nlikua mvivu balaa
1) mende akiingia ndani nlikua siangaiki nae namuacha ale jeuri yake..hamalizi siku mbili bila kumkuta kafa
2) sikuwai kupika wala kua na jiko
3)nikianua nguo nlikua nazitupa kwenye sofa nazivaa ad ziishe bila kukunja wala kupasi
4)nlikua na pasi lakini naweza kuiwasha mara2 kwa mwaka
5)suruali za kitambaa na mashart zilikua hazivaliwi labda kuwe na tukio maalumu
6)sikuwai kuogea maji ya moto iwe msimu Wa joto au baridi
7)kuna Mshkaji aliamia siku moja kafoce tupike mi nkapika mboga yeye kapika wali,wali ulikua na mawe balaa ukichota kijiko kimoja kina mawe yasiopungua kumi ikabi tumeze bila kutafuna
Kama na wewe unakituko cha kipindi ukiwa bachelor sio mbaya ukashare hapa.