Unakumbuka hii?

Nilipewa nokia jeneza nilivyomaliza form 4 halafu siku hiyo nikaibiwa yani nakumbuka nililia kwa week nzima kama vile nilikuwa nina msiba
 
Moja kati ya simu bora kuwahi kuitumia...Nokia 3310 maarufu Nokia jeneza...thanks Nokia
 
Kitu kilikuwa imara kama jiwe. Kuna jamaa yangu alikuwa nayo, ilidondoka kutoka ghorofa ya kwanza ikasambaa, betri kule, mfuniko huko,line huku, jamaa akakusanya akarudishia ngoma ikawaka mwendo mdundo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…