Unakumbuka Enzi Hizi ?

Mkuu Mzizi Mkavu siku hizi ukienda shopping kama una list ndefu hufanyaje? Mie siandiki popote wala siimbi nyimbo kama hiyo picha hapo juu lol!!! Mara chache sana husahau kitu kimoja au viwili ambavyo nilipanga kununua. Huwa nahisi kuna kitu nimesahau lakini sikumbuki ni kipi nikishafika home ndio nakumbuka nimesahau hiki au kile.
 
Last edited by a moderator:
Hapo shida itakuwa kama ulitumwa sukari nusu na robo, hilo ringi likidondoka unasahau nusu unapewa robo tu. Ukirudi home kiboko kinatembea. Asante mkuu umenikimbusha mbali sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…