Unakubaliana na Boateng kuhusu Ronaldinho?

Ronaldinho alikua akicheza mpira hata malaika wanacha kazi zao wanamuangalia na kushangilia huko mbinguni.

Alizaliwa kucheza mpira na kuuchezea mpira. Hata mpira ulipokua ukifika miguuni kwa Dinho ulikua unajua umefika nyumbani.
hahaahah mkuu nimecheka sana, jamaa alitoka sayari nyingne yule. kubwa zaid alikuwa mda wote anafurahi anavyo wanyanyasa wapinzani.ukimpiga buti ndo anafurah zaid
 
Mkitaka ushuhuda mwengine unaofanana na wa Jerome mtafuteni Ashley Cole juu ya madhira aliyokumbana nayo wakati wa World Cup 1994 quater final, alitenguliwa nyonga hakurudi tena uwanjani. Mpira ulikuwa ukimuona Gaucho ulikuwa unamtii kama vile Mbwa amwonapo chatu.
 
Ronaldinho alikua akicheza mpira hata malaika wanacha kazi zao wanamuangalia na kushangilia huko mbinguni.
Ubarikiwe mkuu...
Alizaliwa kucheza mpira na kuuchezea mpira. Hata mpira ulipokua ukifika miguuni kwa Dinho ulikua unajua umefika nyumbani.
 
Mkitaka ushuhuda mwengine unaofanana na wa Jerome mtafuteni Ashley Cole juu ya madhira aliyokumbana nayo wakati wa World Cup 1994 quater final, alitenguliwa nyonga hakurudi tena uwanjani. Mpira ulikuwa ukimuona Gaucho ulikuwa unamtii kama vile Mbwa amwonapo chatu.
sasa ilikuwe akashindwa ipa Barcelona japo kombe la mfalme mara moja

MAANA MPIRA WAMTII
 
Back
Top Bottom