Mbali na taaluma "ZANGU", nina umri wa miaka 26 na nina "KIPAJI" cha kuchora kwa kutumia Pencils, Rangi za Mafuta, Rangi za Maji (Sio sana) na Crayons.[emoji18] [emoji18] [emoji18]
Siku nyingine ujaribu kuficha ujinga wako mkuuMbali ya taaluma yangu ya ualimu nina kipaji cha udaktari.
Kuficha ujinga ni kazi sana kama wewe ni GT utajua nasema hivyo kwa nini ila kama ni kichwa panzi ni ngumu kujua.Siku nyingine ujaribu kuficha ujinga wako mkuu
Siku nyingine ujaribu kuficha upumbavu wako bwana mdogo.Kipaji changu ni kuzarisha korosho
Kuimba
Siku nyingine ujaribu kuficha upumbavu wako bwana mdogo.
Nina kipaji cha kuangalia pembe tofauti tofauti
Wewe uko kama mimi.Age ni 19.. Dhu sasa mm sijui hiki ni kapaji au uwezo tu wa mtu binafsi na uwezo mkubwa kiakili tu wa ku process information na kuchangauna mambo pia mm ni mchoraji, napenda kucheza draft na computer au wazee pia gemu la kupanga telse kwa maa napenda kutumia akili sependagi sana kujionyesha kama naweza napenda kuwa mpole watu wanione wakawaida sitakagi kujionyesha kama najua
ndio, na pembe tatu, pembe za wanyama wengine piaPembe za mbuzi au?