Unajua nini kilifuata baada ya hapo?

kipondo cha kufa mtu na kama kun masela nje/...................
 
Hapo naona anamtoa uvunguni kwa upole kabisa
 
Hapo ni moja alienda hospital kuzimu a.k.a ahera na mwingine alienda jela a.k.a gerezan
 
Unamtoa unamwambia avae Kisha unaongozana Nae hadi kwake....
 
Huyo Dada nywele zipo shaghalabaghala inaelekea kavurugwa Sana. Jamaa atalipiza kisasi .... threesome.
 
Ah mi nikiwakuta hivyo nawaamuru warudie mechi mbele yangu!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…