UNAJUA kwa nini CCM lazima Ife.

UNAJUA kwa nini CCM lazima Ife.

JET SALLI

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
2,993
Reaction score
2,034
1.Dharau iliyokithiri kwa wananchi.
2.Kugeuza wananchi kuwa matahira na
Kuwa hawajui chochote.
3.Kukithiri kwa ufisadi na wizi wa
waziwazi huku serikali ya CCM
ikitazama pasipo kuchukua hatua
yoyote.mfano;Escrow ya juzijuzi
4.Kupitisha sheria kandamizi
zinazoendelea kudidimiza maendeleo
ya watu.
5.Viongoz wa CCM kuthamini maslah
binafsi na familia zao.
7.CCM kutoa ahadi zisizotekelezeka
mpaka tunaingia kwenye uchaguzi
mwingine.
8.CCM kuja na style ileile ya kampeni
hivyo kutokuaminika na wananchi.
9.Umaskini wa wananchi kuzidi
kuongezeka maradufu huku viongozi
wakiwa hawajali chochote.
10.UCHUMI wa nchi kukua kwenye
mifuko ya viongozi huku wananchi
wakiwa taabani,chakula shida,ada za
shule shida,pa kulala shida,watoto
mashuleni wanakaa chini.
11.Wagombea wa CCM kushangaa kila
upuuzi unaoendelea nchini huku wao
ndio wanao ongoza nchi mpaka sasa
na ndio waliolea UOZO uliopo.

TUJIULIZE CCM ICHAGULIWE TENA KWA LIPI KTK HAYO.MIAKA HAMSINI YA UONGOZI WA CCM NI AIBU TUPU.
 
Hapo utakua unaruka mkojo unakanya mavi. Lowassa alikuwa wapi miaka yote hii?Na nini cha kumfanya abadilike? Bora hata angekua kijana tungesema akikua atabadilika lakini mtu mwenyewe kazeeka anahesabu siku tu.
 
Mzee Lowassa anatumia haki yake ya kikatiba. Wananchi wataamua 25/10/2015. Hali ya maisha ya watanzania ni mbaya sana chini ya utawala wa CCM.
 
Hapo utakua unaruka mkojo unakanya mavi. Lowassa alikuwa wapi miaka yote hii? Na nini cha kumfanya abadilike? Bora hata angekua kijana tungesema akikua atabadilika lakini mtu mwenyewe kazeeka anahesabu siku tu.



Lowasa si alikuwa ccm ndo mana alishindwa kuleta mabadiliko akiwa ndani ya ccm.

Kilichomfanya abadilike ni kuhamia CHADEMA

Una swali lingne?
 
Unapozungumzia kuharibika kwa CCM unamzungumzia Lowasa. Kwahiyo Lowasa kuahama CCM unamaanisha atacha wizi uliokuwa kwenye damu yake?

Lowasa si alikuwa ccm ndo mana alishindwa kuleta mabadiliko akiwa ndani ya ccm.

Kilichomfanya abadilike ni kuhamia CHADEMA

Una swali lingne?
 
majebere kumbuja ta komba kwa warioba wewe mtu mdogo sana ka mungu
 
1.Dharau iliyokithiri kwa wananchi.
2.Kugeuza wananchi kuwa matahira na
Kuwa hawajui chochote.
3.Kukithiri kwa ufisadi na wizi wa
waziwazi huku serikali ya CCM
ikitazama pasipo kuchukua hatua
yoyote.mfano;Escrow ya juzijuzi
4.Kupitisha sheria kandamizi
zinazoendelea kudidimiza maendeleo
ya watu.
5.Viongoz wa CCM kuthamini maslah
binafsi na familia zao.
7.CCM kutoa ahadi zisizotekelezeka
mpaka tunaingia kwenye uchaguzi
mwingine.
8.CCM kuja na style ileile ya kampeni
hivyo kutokuaminika na wananchi.
9.Umaskini wa wananchi kuzidi
kuongezeka maradufu huku viongozi
wakiwa hawajali chochote.
10.UCHUMI wa nchi kukua kwenye
mifuko ya viongozi huku wananchi
wakiwa taabani,chakula shida,ada za
shule shida,pa kulala shida,watoto
mashuleni wanakaa chini.
11.Wagombea wa CCM kushangaa kila
upuuzi unaoendelea nchini huku wao
ndio wanao ongoza nchi mpaka sasa
na ndio waliolea UOZO uliopo.

TUJIULIZE CCM ICHAGULIWE TENA KWA LIPI KTK HAYO.MIAKA HAMSINI YA UONGOZI WA CCM NI AIBU TUPU.

Yan nawachukia hawa ppl wa ccm. I wish ningekuwa professional sniper mbona wangeisoma namba!
 
Sababu nyingine ni kugeuza kampeni kuwa ya mipasho kwa mgombea wa UKAWA badala ya kueleza utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi iliyopita, mapungufu yaliyojitokeza na sababu kwa maeneo ambayo utekelezaji haikufikiwa. Wakilala wakiamka ni Lowasa na Richmond. Tangu wameanza kampeni hadi Leo ni ahadi tu. utekelezaji wa ahadi zilizobaki kwa awamu ya nne haulezwi. Mm ni chama changu lakini nimeafika mwisho wa maarifa. Tena wamemuongeza Makamba (baba) kwa ajili ya Lowasa tu. mjipime! Tangu mmeanza kuzungumzia Richmond na Lowasa ndio anazidi kupata mafuriko kwenye kampeni. Jamani mnatuchosha tunaoangalia kampeni !!
 
Hapo utakua unaruka mkojo unakanya mavi. Lowassa alikuwa wapi miaka yote hii?Na nini cha kumfanya abadilike? Bora hata angekua kijana tungesema akikua atabadilika lakini mtu mwenyewe kazeeka anahesabu siku tu.
HERI YAKO WEWE UISHIYE MILELE CHINI YA JUA NA MBINGU.Amina
 
Back
Top Bottom