uoni kuwa ikiwa mal yako ni vizur zaidiMbona hiyo rahisi tu kiongozi.
Kama huna mpango wa kuwa naye maishani unamruhusu anaenda kuandaa mazingira ya kuolewa then wakishakaa na jamaa yake unaendelea kumumega kwa kwenda mbele.
Iliwahi kunitokea hiyo.
uoni kuwa ikiwa mal yako ni vizur zaidi
we mwanaume umekutana na mwanamke ukampenda, ilivomwambia akakujibu kuwa ana mtu, siku zimepita kidogo akaja kuvutiwa na ww pia hivyo akakukubal. mapenz yenu yamenoga sana mpaka msichana akataka kumuacha mpenz wake wa mwanzo.kabla hajatimiza azma yake ya kumwambia mpenz wake wa zaman waachane huyo mpenz wake kamwambia kuwa anataka kwenda kwao na huyo msichana wako kujitambulisha ili amuoe, alivyokueleza ulichanganyikiwa na yeye alichanganyikiwa sasa hujui umshaul nn huyo msicha wako , kwamba umuache au umwabie aachana nahuyo jamaa. yeye anaogopa kumuacha huyo jamaa kipindi hiki sababu anamuonea huruma, je ukiwa ww utafanyaje?
Pole! Unaweza kuung'oa ukaufungia kwenye kibox! I hv done it to mine and it works so perfectmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhi wish ningekuwa sina moyo wa kupendakabisaaaa.....ningekuwa free na stress .....
we mwanaume umekutana na mwanamke ukampenda, ilivomwambia akakujibu kuwa ana mtu, siku zimepita kidogo akaja kuvutiwa na ww pia hivyo akakukubal. mapenz yenu yamenoga sana mpaka msichana akataka kumuacha mpenz wake wa mwanzo.kabla hajatimiza azma yake ya kumwambia mpenz wake wa zaman waachane huyo mpenz wake kamwambia kuwa anataka kwenda kwao na huyo msichana wako kujitambulisha ili amuoe, alivyokueleza ulichanganyikiwa na yeye alichanganyikiwa sasa hujui umshaul nn huyo msicha wako , kwamba umuache au umwabie aachana nahuyo jamaa. yeye anaogopa kumuacha huyo jamaa kipindi hiki sababu anamuonea huruma, je ukiwa ww utafanyaje?
Aiseee! Dah!we mwanaume umekutana na mwanamke ukampenda, ilivomwambia akakujibu kuwa ana mtu, siku zimepita kidogo akaja kuvutiwa na ww pia hivyo akakukubal. mapenz yenu yamenoga sana mpaka msichana akataka kumuacha mpenz wake wa mwanzo.kabla hajatimiza azma yake ya kumwambia mpenz wake wa zaman waachane huyo mpenz wake kamwambia kuwa anataka kwenda kwao na huyo msichana wako kujitambulisha ili amuoe, alivyokueleza ulichanganyikiwa na yeye alichanganyikiwa sasa hujui umshaul nn huyo msicha wako , kwamba umuache au umwabie aachana nahuyo jamaa. yeye anaogopa kumuacha huyo jamaa kipindi hiki sababu anamuonea huruma, je ukiwa ww utafanyaje?