Unajisikiaje Mpenzi Uliyemkosea, Anajirudi Kuomba Yaishe Ili Mrudiane!?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unajisikiaje Mpenzi Uliyemkosea, Anajirudi Kuomba Yaishe Ili Mrudiane!??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Majigo, Oct 18, 2012.

 1. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Yawezekana Ni Girl/Boy Wako Uliyewahi Kumuudhi Kwa Kufanya Yale Hasiyoyapenda...Eidha Ulikunywa Pombe Au Kivingine.

  Alipogundua Hayo,Kwa Hasira Anakuambia "Hakupendi Na Amekusamehe Ila Bora Muachane(Bila Kukutusi)"
  Ooh My God!!!
  Kama Utani Unaamua Kukubali Kuachana Lakini Mkawa Bado Mnaendelea Kujuliana Hari Ya Kimaisha(Simu)
  Maisha Yanaendelea,Baada Ya Miezi 5...Mpenzi Huyo Anakutumia Ujumbe Kuwa,
  "Anaomba Mrudiane Kwani Zile Zilikuwa Hasira Tu,Lakini Yeye Bado Anakupenda Na Ameielewa Thamani Yako Kwake"

  1:Je,Kama Ni Wewe Utajisikiaje?
  2:Mkirudiana!!...Hauta Ringa Na Kujiona We Ndo Makitu Yote Kwake?
  3:Kwa Ujumla Unalizungumziaje Penzi La Namna Hii?

  Tafadhari!!!...Changia Unachokielewa Kwani Ni Mambo Ambayo Yanaigusa Jamii Moja Kwa Moja....Hoja Zote Zitakubaliwa, Ila Pasiwe Na Madharau Kati Yetu Wajameni!!
  Haya Tumwagike!!!!
   
 2. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,128
  Trophy Points: 280
  Aaaaaaaaaaaaah! Majigoooooooooo! Namna gani veve naleta mada ngumu kama hizi chana yote hiiiiii! Vatu iko choka na kazi za kafiri, na veve leta hizi mada za loosers. Jitu kama namkataa mwenzie, baaaaaaaaaass na ikatafute mtu ingine sio nafanya ingia na toka veve navotaka katika maisha ya venzie!!!!

  Kama mimi iko jua sichana jinga jinga ishaambiwa haitakiwi, halafu siku ingine ile jinga anaume narudi na kusema iko penda yeye tena, na venyewe iko samehe!!!!!!!!!!??????????? Mimi ikijua veve IKO CHAPA VEVE BAO TUUUU! Nageuzwa kijiwe cha nyumbani na veve iko ona sawa!!!!!!!!!!!!

  Jitu hataki veve, baaaaaaaass veve tafuta anaume ingine!!!!!!!!! Ziko nyingii tu, kama nataka ya kihindi njoo upanga tapata kijana Rajesh nauza duka ya babake pale nazi moja!
   
 3. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160

  Haya Bikira, Naona Ishu Za Mapenzi We Ndo Washika Usukani...LOL!
  Dah!Roho Iko Choma Mimi Sana Banah,Sijui Khanipa Nini Your Ex-In-law!?
   
 4. N

  Natalia JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Big no no no no no .usirudi done deal done.my principal in life don't fool around my life no trash stuff here and if I made mind it means have a nice day. .i high light and delete
   
 5. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,128
  Trophy Points: 280
  Aaaaaaaaah! Majigo, na veve anza sikiliza jungu na zushi na kuanza jungua mimi na jungu zao? Mimi iko changia thread yako kwa roho safi kabisaaaaa ila veve napiga JEMBE mimi ya waziwazi kabisa kila mtu iko ona LIVE!!!!!!

  Mimi haiko jua nasungumsa habari yako veve mwenyewe, kama ingejua ingepungusa kali ya maneno. Iko omba samahani kama iko boa veve.

  Ila sababu najungua mimi bila kosa, basi mimi hapana changia tena thread zako isije tukana mimi kabisa! LOL!
   
 6. Edgartz

  Edgartz JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  xaxa miezi yote hiyo kuwa alikuwa mwenyewe? Au hata kidume kuwa ulikuwa hujapata mwingine?
   
 7. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mhhh hiyo miezi mi0tano sijui mingapi yote alikuwa single tuu anasubiri miujiza imwagike mrudiane
  Au alikuwa na sehem amejishikiza akaona hailipi bora arudi kule kule
  na wewe ambaye umemwagwa bado ulikuwa single unasubiri miujiza au na wewe ulikuwa na kwingine nawe ukaona hailipi so bora awali ya awali
  Inategemea mengi aise maana hapo kama ni kosa asingechukua maamuzi ya haraka kiasi hicho ya kukatisha mawasiliano na vile vile asingechukua muda mrefu hivyo kugundua kuwa alishafanya kosa aje arudi kuja kuomba msamaha
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  jani likishadondoka halirudi tena mtini
  mimi nikishakutoa moyoni kwa lisaaa tu huwezi rudi tena
  vyombo vipo vingi
   
 9. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Ooh! MAMA!
  Kwa Hiyo Nistay Away?
  What's Love?
  How Some 1, Used To treat Another Feelngs?
   
 10. N

  Natalia JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Good for you .
   
 11. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  JUS joke Jamani Lara!!
   
 12. N

  Natalia JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  My life have principals and values and morals.dare crossing or mess with my life your done
   
 13. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  dume Yeye Kakolea Sana,Zile Zilikuwa Hasira Tu!!
  Yeah!Yuko Single!!
   
 14. awp

  awp JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  amesahau nini?
   
 15. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mkoswaji Ndiye Anaomba Yaishe Hapa!!
  Vp Kutakuwa Na Mapenzi Shirikishi Hapa?
   
 16. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  hata kama kwa hasira akasema hanitaki tena................FULL STOP THE END OF THE STORY,
  FORWARD FOREVER, BACKWARD NEVER.........GOLD CHANCE NEVER COME TWICE
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  hua siamini katika kuachana na kurudiana.......

  Anyway...inategemea na kosa, lets say kaniacha kwa vile nakunywa pombe, anaporudi baada ya miezi mitano anatarajia nini wakati mie pombe bado nakunywa? Si atakuwa karudi kupumzika tu then asepe?

  Wengine wanakutafutia visa muachane kwa kuwa kapata mali mpya, akikuta huko ndivyo sivyo atajifanya kurudi......

  Uwiiiiii kama tumeachana ndo ishatoka hiyooooooo, maana nitakuwa nishakuyoa moyoni, sasa kama nimestruggle kukudelete kwa moyo, kwa nini nikupokee tena? Ili nije kustruggle tena baadae? Aiiiii
   
 18. Lucy Godfrey

  Lucy Godfrey JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  huwa nakuwa hoi na comments na shauri zako unazotoa kwa watu ,,,,,teh teh teh teh
   
 19. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  ayayayah!
  Unanichoma Smile,Kuwa Japo Na Maneno Yenye Kuleta Faraja!
  Lakini Huoni Kule Kuwasiliana Kunarudisha Hisia?
   
 20. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hili Nalo Neno,Sijui Nitamjibuje Mie?
  Ok!Nimeshindwa Kuwa Mbali Nawe Babe!
   
Loading...