Unajifunza mini kupitia hii picha??

mapenzi ya dhati! watoto wafurahia kuona baba na mama wanapendana hadharani, na wenye wivu wote wajinyonge!
 
mbona si jambo la ajabu hilo so longer ni mkewe sioni shida hapo
 
Hakuna kibaya hapo,kwanza watoto wenyewe wakubwa hao..
 
Nimejifunza kuwa mapenzi yana nguvu kushinda breakdown!
Ww umejifunza nn?
 
Kweli wanaume tumeumbwa kuwa na wake wengi!we can balance love between them!
 
Kama Ni mkewe mbona sio Mara ya kwanza!, aliwahi kufanya hivyo wakati anachaguliwa kuongoza Chama kwa Mara ya kwanza mbele ya mkutano mkuu wa Chama.
 
kwakuwa kafanya kiongoz c mbaya na waongozwa nao wakafanya bila kuficha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…