Unaitambuaje TV feki?

kuna jamaa anayo hiyo unayoisema ila cha ajabu inakataa kupokea wifi nadhani alipigwa. kapewa fake
 
Na wakati mwingine haya mambo ni kubahatisha. Hata lg inaweza ikakaa mwaka ikafa pia. Alaf hizi hisense zinauzwa hata kwenye maduka ya kuheshimika, hili ndo lilinishawishi.
na warranty wanakupa achaa tu
 
Binafsi Nina shida Kama week mbili zilizopita nilinunua smart TV Aina ya TCL lakini nikiitumiaaa Kuna muda inafika inajizima yenyewe mpaka niiwashe Tena kwa remote je nitatizo la kawaida au nishida msaada?
Angalia kama inajizima kwa muda sawa kutoka mara ya kwanza na ya pili (mfano kila baada ya nusu saa au robo saa) kama ndivyo, turn off auto turn off
 
Samsung na LG ni brand nzuri za tv ila kwa mimi naona LG is the best kwa tv. Mziki sony na friji samsung
Uko vizuri. Hizo ndio brand za uhakika. Ila LG nao wako vizuri pia kwenye friji. Ninayo moja nimenunua tangu mwaka 2007 na bado inadunda. Kwenye muziki kwa kweli Sony wako vizuri sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…