Mkuu, hii idea, kama vile umeniibia!! just a collusion of ideas, so far go a head!!Ahsante kwa idea yako mkuu, hasa hicho kipengele cha kwanza, ntalifikiria hilo...
Thank mkuu... Yes, am planning kufanya vitu vingine pia, ila vyote vitahusika na entertainment, na since big rooms zitakuwepo pia still itatumika kama meeting room, for as long as mtu analipia kwa muda flani hapo ni mtu mwenyewe tu atapenda kufanya nini kwa huo muda..
Mkuu kwenda karaoke haimanishi kurekodi, na sijaongelea shilingi laki tano, naongelea shilingi elfu tano, kwa nini nimchaji mtu saa moja shilingi laki tano hata millionaire hawezi kulipa hiyo hela kwa saa moja, n siyo kurekodi, ni kuimba tu just as fun, n kama sio hivo hiyo yaweza kua kama meeting place watu wanakutana wanakaa na ku-relax, drink etc... since ni elfu tano kwa room wakiwa watu watano manake watachange buku buku, ni mtu mwenyewe tu..
bado sana kwa uchumi kama wa tz mtu apoteze hela kisa kujirekodi iko luxurious sana labda kwa africa ni s.africa au nigeria tena kwa wateja wa kupishana masaa matano kabla.
Itachukua muda sana kuwaweka wabongo kwenye line.....its nyc idea by the way.
Bro achana nahio biashara itakupotezea muda
Mkuu umefikia wap? Ulifanikiwa? Idea yako nzur aisee...Muwe mnasoma post imewekwa lini, hii post umeenda kuichimba mwaka 2013 kweli? Hehehe
Mkuu kwenda karaoke haimanishi kurekodi, na sijaongelea shilingi laki tano, naongelea shilingi elfu tano, kwa nini nimchaji mtu saa moja shilingi laki tano hata millionaire hawezi kulipa hiyo hela kwa saa moja, n siyo kurekodi, ni kuimba tu just as fun, n kama sio hivo hiyo yaweza kua kama meeting place watu wanakutana wanakaa na ku-relax, drink etc... since ni elfu tano kwa room wakiwa watu watano manake watachange buku buku, ni mtu mwenyewe tu..
5k ni gharama ya kurekod na full mixing kwenye studio kbwa na maarufu hapa dar. So kwa mimi ambaye ninapenda kuimba na kujiimbisha nitaenda kwenye vistudio vya uswaz au kwa majamaa wenye fl au qubase na nikajirekodisha kisha nijirekod pia kisha ntupie mitandaon au nimpe mama yeyoo kuliko kwenda kariokee then nilipe that money. Its a good idea bt not for this economy
Samahani mkuu, unajua tofauti Kati ya kareoke na hicho ulichozungumza????5k ni gharama ya kurekod na full mixing kwenye studio kbwa na maarufu hapa dar. So kwa mimi ambaye ninapenda kuimba na kujiimbisha nitaenda kwenye vistudio vya uswaz au kwa majamaa wenye fl au qubase na nikajirekodisha kisha nijirekod pia kisha ntupie mitandaon au nimpe mama yeyoo kuliko kwenda kariokee then nilipe that money. Its a good idea bt not for this economy