Unaikumbuka NOKIA3310

Ngai Moko

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2016
Posts
1,403
Reaction score
1,876
Imepita miaka 17 toka kampuni ya NOKIA itoe simu yao model ya 3310, mtaani ilifahamika kama NOKIA jeneza, hahahaaaa.
Nilipitia siku za nyuma nikakutana na new model ya toleo la Nokia jeneza, hii ya sasa ambayo imetolewa ina features hiz baadh
• ina rang mbalmbali
• ina kamera
• kioo cha rang
• nyembamba
kilichonikumbusha mbali ni ile game ya nyoka et wanasema wameliboresha na lina rang, na wale wa mtandao wa 2G wataingia mtandaon,
Bahat mbaya kuna nchi 2G inaenda kuzimwa.
Kwa wale wa features phone kwa simu ngumu na zenye kukaa na chaj muda mrefu inafaa, pia imetoka na chaja ya Micro USB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…