Karuka tena karuka lakini hakufikia
matunda hakuyashika mkononi hakutia
hakika alisumbuka nguvuze zikapungua
nguvvuze zikapungua sungura nakwambia
sizitaki mbichi hizi sungura akagumia
naona nafanya kazi bila faida kujua
yakamtoka machozi matunda akalilia
matunda akalilia shungura nakwambia.....
loh ndugu umenikumbusha mbaaaaali sana, natamani nikipate hiki kitabu nikisome vizuri maana mashairi haya yalikuwa na maana nzito sana kwa watoto wa umri ule kuyaelewa. nilipokuwa secondary ndio nilikuwa natumia msemo wa sizitaki mbichi hizi kwa wale wavulana ambao anakusotea weee ukimtolea nje ndio anaanza kukusagia ooh demu gani yuko hivi yuko vile.... kama sungura!!