byakunu
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 517
- 1,147
Miaka ya 2005 kuja 2010 enzi hizo Jamiiforum siyo maarufu, kulikuwana na blogspots nyingi sana zilizokua hot. Mimi nazikumbuka hizi.
1. Mbeya yetu blog, Morogoro yetu, Iringa yetu, habari za maendeleo ya mikoa
2. Dinahicious blog mambo ya malavidavi na mahaba ili kua chimbo balaa sana
3. Zeutamu blog hapa ndo kama twitter alivyo shetani8
4. Bongo5 mambo ya muziki na entertainment (lakini hawa wamejitahidi kubadilika kuja kuwa website na mpaka leo wapo?
5.Darhotwire ilikua mambo ya miziki sana
6.Michuzi blog mambo ya news, huyu nadhani bado yupo
Lakini siku hizi naona blogspots karibia zote zilizimwa au zimekufa , changamoto sijawahi kujua ni nini, Zingine zinazofanya kazi au ulizowahi kuzijua nakuzipenda basi share