Hujanielewa ..me pia ni posta mizigo inafika ila Kuna option ya kuchagua njia ya usafiri
Kama ni ile meli cainiao super economy
DHL
AliExpress standard shipping or ipi kila moja ina Bei zake za shipping kwa simu ambayo inatakiwa isafirishwe kwa extra care na haraka sijui unatumia ipi wewe
Hebu angalia hapo mkuuAngalia sana kipengele cha perfomance
Samsung Galaxy S22 Ultra inatumia Qualcomm Snapdragon 8 Gen 1 wakati Xiaomi 12S Ultra inatumia Qualcomm Snapdragon 8 Plus Gen 1
AnTuTu Score ya Xiaomi pia ni greater than Samsung's