Unaijua?? The Route of All Evil...

Maana nalo inawezekana ni tatizo tena kubwa kuliko route of all evil
 
Boflo, jina hili umechagua mwenyewe?

Mimi nawashangaa sana Wana Jf kulihusisha jina langu na maana wanayoitaka wao!!

Hivi hivi mkate wa Boflo una mahusiano gani na maana ambayo wana Jf wanaitaka????
 
Macho kama bundi? Is this supposed to be a compliment?

Ha..ha..ha..I miss u my flatmate yaani uko buzy sana.Hizi shift zako za usiku zinafanya tusionane kabisa wakati mimi narudi kazini nakuta wewe umeshaondoka.
 
Hahahaaaa nawewe umooooooooooooooooooooooo Bofloooooooooooooooooo
 
Haina foleni wala nini nadhani huwa hausimamishi gari mpaka ufike kituoni.

na kituo chake kiko kileleni...

ukifika kituoni tu unashangiria kama mwehu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…