xxtycoon Member Joined Jan 3, 2023 Posts 31 Reaction score 68 Oct 24, 2023 #1 Ifike muda tukubali kuwa Simba SC ni timu kongwe na bora ila wale wengine ni timu kongwe. Sasa cha kushangaza leo kwenye pita pita zangu nimeona kuna kampuni ya kubet imeipa odds 20 kama Simba SC watashinda mechi ya leo! Naombeni mnisaidie kuitaja nimesahau jina!
Ifike muda tukubali kuwa Simba SC ni timu kongwe na bora ila wale wengine ni timu kongwe. Sasa cha kushangaza leo kwenye pita pita zangu nimeona kuna kampuni ya kubet imeipa odds 20 kama Simba SC watashinda mechi ya leo! Naombeni mnisaidie kuitaja nimesahau jina!
Tsh JF-Expert Member Joined Aug 26, 2021 Posts 19,850 Reaction score 42,026 Oct 24, 2023 #2 Kama unajiamini Weka pesa ya mtaji iongezeke mara 20.
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,712 Reaction score 32,489 Oct 24, 2023 #3 Kwanini mnatumia nguvu sana kusema habari za ukubwa wa Simba jamani. Kuweni na amani tu, ukubwa hausemewi unaonekanaga wenyewe dogo.
Kwanini mnatumia nguvu sana kusema habari za ukubwa wa Simba jamani. Kuweni na amani tu, ukubwa hausemewi unaonekanaga wenyewe dogo.
xxtycoon Member Joined Jan 3, 2023 Posts 31 Reaction score 68 Oct 24, 2023 Thread starter #4 Tsh said: Kama unajiamini Weka pesa ya mtaji iongezeke mara 20. Click to expand... ee ndio nimewapata hapa kumbe ni sokabet africa ngoja niweke mkeka
Tsh said: Kama unajiamini Weka pesa ya mtaji iongezeke mara 20. Click to expand... ee ndio nimewapata hapa kumbe ni sokabet africa ngoja niweke mkeka
Tsh JF-Expert Member Joined Aug 26, 2021 Posts 19,850 Reaction score 42,026 Oct 24, 2023 #5 xxtycoon said: ee ndio nimewapata hapa kumbe ni sokabet africa ngoja niweke mkeka Click to expand... Lolote linaweza kitokea.
xxtycoon said: ee ndio nimewapata hapa kumbe ni sokabet africa ngoja niweke mkeka Click to expand... Lolote linaweza kitokea.
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 17,275 Reaction score 24,134 Oct 24, 2023 #6 xxtycoon said: Ifike muda tukubali kuwa Simba SC ni timu kongwe na bora ila wale wengine ni timu kongwe. Sasa cha kushangaza leo kwenye pita pita zangu nimeona kuna kampuni ya kubet imeipa odds 20 kama Simba SC watashinda mechi ya leo! Naombeni mnisaidie kuitaja nimesahau jina! Click to expand... Hela hizo changamkia
xxtycoon said: Ifike muda tukubali kuwa Simba SC ni timu kongwe na bora ila wale wengine ni timu kongwe. Sasa cha kushangaza leo kwenye pita pita zangu nimeona kuna kampuni ya kubet imeipa odds 20 kama Simba SC watashinda mechi ya leo! Naombeni mnisaidie kuitaja nimesahau jina! Click to expand... Hela hizo changamkia
bakundande jr JF-Expert Member Joined Oct 22, 2021 Posts 507 Reaction score 673 Oct 24, 2023 #7 xxtycoon said: Ifike muda tukubali kuwa Simba SC ni timu kongwe na bora ila wale wengine ni timu kongwe. Sasa cha kushangaza leo kwenye pita pita zangu nimeona kuna kampuni ya kubet imeipa odds 20 kama Simba SC watashinda mechi ya leo! Naombeni mnisaidie kuitaja nimesahau jina! Click to expand... Kampun gani hiyo niweke hela ya kodi
xxtycoon said: Ifike muda tukubali kuwa Simba SC ni timu kongwe na bora ila wale wengine ni timu kongwe. Sasa cha kushangaza leo kwenye pita pita zangu nimeona kuna kampuni ya kubet imeipa odds 20 kama Simba SC watashinda mechi ya leo! Naombeni mnisaidie kuitaja nimesahau jina! Click to expand... Kampun gani hiyo niweke hela ya kodi
mzee wa bwaksi JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 2,256 Reaction score 3,987 Oct 24, 2023 #8 Hawa gal sports wameipa 25
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 10,098 Reaction score 8,206 Oct 24, 2023 #9 Kongwe na Bora iwe kwa vitendo na siyo kwa maneno matupu.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,850 Reaction score 119,046 Oct 24, 2023 #10 Kama kweli simba ni mnyama, basi leo jioni lazima atachinjwa tu, na kuliwa nyama na Waarabu.