Sio lazima kila mara utaje namba yako ya simu kwa mtu ? Unaweza share namba yako ya simu na simu nyingine kwa kugusanisha tu kwenye iphone.
Apple wametambulisha feature mpya kwenye iOS ya 17 ambayo inaitwa Namedrop ni kama vile iliyokuwa Airdrop miaka ya nyuma kwenye ios zilizopita basi kuna feature mpya inaitwa Namedrop kwenye iOS 17.
Ni feature itakusaidia kuweza kushare taarifa Zako muhimu kama vile namba za simu kupitia simu nyingine bila kuitaja kwa urahisi sana. We chukuliwa tu mko kwenye kundi kubwa la watu mbalimbali mnazungumza mambo mbalimbali.
Sasa mnataka kubadilisha mawasiliano sio lazima mpaka umtumie mtu ujumbe kwa njia ya sms au kubadilisha simu hapana unatumia tu Namedrop utaweza kushare namba Zako za simu na mtu mwingine.
Pamoja na email nk Hii feature imekuja kupunguza Matumizi ya kuomba Business Kadi kwa watu. We unafanya tu kugusanisha utaweza share taarifa Zako kwa kutumia feature ya Namedrop ila inafanya Kazi kwa watumiaji wa iphone tu.
Wapo wenye hofu kwamba what if hutaki kushare hizo information? Ni kwamba ni lazima wewe uruhusu hizo taarifa ndipo zihamie kwa mhusika. Kwa hiyo haiwezi kwenda tu tasinimu (automatically), just kwa kugusanisha simu.
Wapo wenye hofu kwamba what if hutaki kushare hizo information? Ni kwamba ni lazima wewe uruhusu hizo taarifa ndipo zihamie kwa mhusika. Kwa hiyo haiwezi kwenda tu, just kwa kugusanisha simu.