Unaijua democracy wewe?

Mkuu umesema kweli, tuombe amani tu maana vita ni hatari
 
Sehemu yoyote akishaingia mmarekani akaleta propaganda zake lazima nchi iaribike,watamkumbuka Le Grande Muammar gaddafi
 
Hizi ndizo huruka za waafrika, utasikia tunataka democracy, haya sasa washapewa waitumie, poor african!!
 
Ombea amani kila siku

Haiko realistic!!! Nilitegemea utoe picha ya eneo moja kabla na baada ya Gadaffi... Ukijifanya unatawala as if una hati ya kudumu lazima wananchi wakukomeshe..... Siamini kama ni America ila naamini Walibya wenyewe walimchoka Gadaffi...
 
kwani wamarekani ndio walikuwa wakiandamana kumwondoa gadafi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…