Unai Emery aanza kuagwa Arsenal

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
119,352
222,510
Emery anapaswa atafute kazi nyingine ya kufanya.... uwezo wake ni kama kutegemea ( 392 X 750 ).jpg
FB_IMG_1573329825122.jpg

Hii ni baada ya Timu yake kuchapwa na Leicester City

Namtakia safari njema
 
Shida ya Arsenal sio kocha ni kikosi, quality players wapo wawili au watatu
Hivi utakifananisha kikosi cha arsenal na timu ipi nyengine pale EPL ukiacha Liver na City?? acheni ujinga Unai amefeli na watu wakubali tu kuwa amefeli. Hebu weka kikosi cha arsenal na Leicester kwa mchezaji mmoja mmoja halafu uone kipi kikosi Bora??
 
Wengine wanaongea mashudu tu unawaacha et tunakikosi kibovu Auba amechukua kiatu cha mfungaj bora msimu uliopita halafu anaongea utumbo Huyu Unai akwende tuuu
 
Shida ya Arsenal sio kocha ni kikosi, quality players wapo wawili au watatu
Kikosi kinawezaje kua na shida?

Msimu uliopita hatukua na wachezaji wa nafasi nyingi na wengine majeruhi ila Arsenal ilifika Final Europa bila kufungwa, na ikapambania top four.

Leo wachezaji wapo, nafasi moja ina watu kuanzia watatu timu inashindwa kudeliver, unalaumu vipi kikosi?
 
Hakujua analoongea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom