Unahitaji sakafu tarazo imara na ya kisasa?

Unahitaji sakafu tarazo imara na ya kisasa?

Winnerstz

Member
Joined
Nov 25, 2023
Posts
30
Reaction score
23
Tunatoa huduma za ujenzi wa sakafu ya tarazo kwa shule, maghala (godowns), majengo ya biashara na makazi kwa ubora wa hali ya juu.

✅ Tunatumia vifaa bora na wataalamu wenye uzoefu
✅ Ujenzi imara unaodumu kwa miaka mingi✅ Bei nafuu na makubaliano mazuri
✅ Tunazingatia viwango vya ujenzi na usalama

📞 Wasiliana nasi leo kwa ushauri na makadirio ya gharama BURE!

📍 Huduma zinapatikana katika maeneo yote
📲 Simu/WhatsApp:0618928236
📧 Barua pepe: millionmakazi@gmail.com

Terrazo-1-450x273.jpg
 
Ungeweka bei hata kwa square metre kwa faida ya wote
Mie nimependa ila naomba kujua bei
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom