UNAHITAJI NYUMBA, UWANJA KIGAMBONI?

UNAHITAJI NYUMBA, UWANJA KIGAMBONI?

kt the irreplaceable

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2017
Posts
2,389
Reaction score
4,935
Kama kuna sehemu inajengwa kisasa, kimpangilio na kwa utaratibu wa hali ya juu ni kigamboni. Kama umefanikiwa kufika kibada, shangwe, ungindoni na tuangoma utakubaliana na mimi.
Kwa mtu anayehitaji uwanja kwa ajili ya kujenga nyumba ya kuishi, kupangisha, masha ama biashara aje inbox tuyajenge na kusaidiana.
Uadilifu na uaminifu ndio mtaji wetu. Karibuni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe ni dalali au unauza kiwanja/viwanja?

Poa viwanja vilivyo karibu na beach (beach plots) na viwanja kwa ajili ya uwekezaji wa frems na hostel kwa wanafunzi vinapatikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom