Unahitaji kiwanja maeneo ya Pugu-Kinyamwezi?

Crimea

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
26,840
Reaction score
38,930
Ni PM, viwanja vina ukubwa wa 28 x 28, bei milion 4.5.
Vipo maeneo ya Pugu Kinyamwezi.
 
Kuweni makini sana maendeo ya pugu kinyamwezi, pugu, majohe na kwingineko kuna wavamizi wamevamia mashamba ya watu wakaanza kuuza kama yakwao hasa hawa wakurya na kesi zipo mahakama kuu kinachosubiriwa ni hukumu tu ije ipitishwe hambushi kama iliyofanyika kipindi kile huko tegeta wa wanaacha kununua kihalali wanavamia maeneo yaliokwisha nunuliwa kihalali.
 
Mkuu hayo mambo nayajua sana, tena kuna shamba la shemeji yake mkapa limevamiwa na wakurya maeneo ya shule ya sekondari viwege kesi iko mahakamani,
lakini hivi ninavyosema hapa havihusiani kabisa na uvamizi ni vya kihalali kabisa.
 
Weka taarifa vizuri,toa umbali toka Barabara ya Lami. Je Unaingia kulia au Kushoto ukiwa unatokea Gomz/Town!? Miundo Mbinu ikoje!? Isije ikawa unauziwa kiwanja halafu unaambiwa kuwa Umtafute Jirani ili mnegoshieti kuhusu Njia ya kuingilia Kwako.

Mjini hapa kuna Mambo. Unauziwa kiwanja halafu baada ya Muda anakuja kuibuka Mtu anasema hilo eneo ni mali yake na yeye ni wa kwanza kumilikishwa. Anakuonyesha Full Documents.

Binafsi walivamia eneo langu HEKA MOJA pale Ilala Buyuni-CCM S/M Kigezi(Mita kama 200 Jirani toka vilipo Viwanja vya Mradi na Nyumba za PSPF), eneo nlikuwa nmeweka Nguzo zile Ndefu za Zege lakini Washenzi wakavamia na kujigawia/pitisha Mkuza. Kesho yake Nkapigiwa Simu na Majirani wema, Kufika nkakutana na huo Uharamia. Nkang'oa Miguzo yao ya Miti na kuitupa, Nkaenda Kwa Mjumbe. Mjumbe akashanga Kusikia watu wamevamia Eneo ambalo tayari mwenyewe ameweka Mipaka Vizuri ya NgUzo za Zege.

Mjumbe akanishauri akanambia,kesho nifike Asubuhi na Mapema, nipasafishe kisha Tuweke Mazao kama Mihogo/Miembe/Migomba na Miti ya Kivuli. Atakaye kuja kuvamia huyo atakuwa ni Mwizi wa Mazao. Kesho yake Nikafanya kama alivyo nielekeza Mjumbe.na nikatoa taarifa kuwa waliohusika na huo Uharamia/uhalifu,wajiandae kusombwa siku yoyote. Baada ya WIKI moja Mjumbe akanipigia akanambia kuwa wale wavamizi(Wanne) wanaomba mambo yaishe tusifikishane Mbali. Nkamwambia Mjumbe kuwa "Waniite,niiende waniombe Msamaha kwa Ushenzi walionifanyia" Ndio Nasubiria wajipange ili Waniite. Sijajua cha kuwafanya ntakapoenda huko.

Mungu Nisaidie.
 
Pole sana mkuu hii ni mikurya imevamia maeneo mengi sana huku. Eneo ninalo sema mm ukifika kituo cha kushushia abiria cha Kinyamwezi unaingia kushoto kama unatokea gongo la mboto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom