Unahitaji FREMU za Biashara?

Kuuzia bangi zinafaa sana sh ngapi kwa mwez?
 
Biashara yangu ya mirungo itanifaa hapo nadhani
 
Kwa mimi zinanifaa kwa biashara ya shot tame maana siku hizi huwa zina lipa sana huwa hazina kodi ni teli kwa tele
 
Hii itakuwa BASHNET.....! Hii ni kaunta ya Bia...! Zote Bariiiidiiii!
cc. mshana jr, Mtumishi Wetu, Earthmover....
 
Kwa mimi zinanifaa kwa biashara ya shot tame maana siku hizi huwa zina lipa sana huwa hazina kodi ni teli kwa tele
hapo ni kushikisha tu maana sitaweka vitanda
 
ngoja nikanunue mshine za efd tra nakuja kukuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…