Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,524
- 5,782
hello ..kuna fremu ilifunguliwa mahususi kwa ajili ya biashara ya mpesa, tigo pesa na airtel money, mkataba bado haujaisha, iko eneo zuri lenye wingi wa watu haswa nyakati za kuanzia saa 10, unaweza kuongoezea na labda kuuza simu au kitu kingine tu kulingana na unavyopenda, lakini utauza tu tena sana.
sifanyi tena hii biashara sababu nimepata kitu kingine cha kufanya na nasafiri.
Line za uwakala zipo pia kama utazihitaji, nachotaka ni kupewa tu hela ya refurbishment na kuelewana mammbo mengine.
Location ni mwanza...kwa mhitaji karibu PM kwa mazungumzo.