AMAFUMU
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 221
- 114
habari wana JF, nimatumaini yangu huwa mnapata muda wa kusoma habari za biashara na uwekezaji kwenye ukurasa huu,
hivyo kama we ni mmoja wao, basi napenda kuwajulisha watakao hitaji ardhi ya kuwekeza.
nina eneo lipo moroco njia ya kwenda zantel ukitokea kinondoni...pale nina eneo linahitaji wawekezaji....lile eneo tunataka kujenga apartments. kiwanja kina hati tayari
pia hapo hapo tunajengo lina faa kwa office kama vile benki, mitandao ya simu lakini pia mtu anaweza kufungua zahanati.
eneo lingine lipo bunju. ni karibu na ujenzi unaendelea wa TBA huko ni heka 10 ambapo tunatafuta wawekezaji wa nyumba za makazi kwanzia zile za chini na ghorofa, hizi nyumba zikijengwa zitauzwa hivyo ni namna tu masharti ya mwekezaji ndio tutakayoangalia.....!design ya hizo nyumba za bunju tayari zimekamilika na hizo heka 10 tayari zina hati
mwenye kujua wawekezaji basi ataweza kuwasiliana na mimi kwa kuni PM ama garchedwin@gmail.cmo
shukrani sana wote na poleni na msiba wa mandela!